Wanawake ni waathirika namba moja kwenye penzi

Hastahili kabisa ๐Ÿ’ฏ

Wewe umeshindwa kujimudu mwenyewe, kwanini uongeze kiumbe mwingine ambaye hutamudu mahitaji yake?
Wanasema watoto ni baraka kila mtoto anakuja na sahani yake kwahiyo wacha makakupu wazae.
 
Tatizo ni umasikini zaidi,

Halafu kwani mimba na kuzaa ni kuathirika? Watu wa dini si wanasema wamepewa maagizo kuzaa kuijaza Dunia! Wakizaa inabidi wafurahi kutimiza maagizo
Mbona wew ulizaliwa..?au wazee wako ni watu wa dini?

Mnafata mkumbo
 
Ni sawa, maana wameambiwa watazaa kwa uchungu, nasi tutakula kwa jasho...


Cc: Mahondaw
 
Tukitaka tufanye official commercialization of relationship ni sharti tukubali mwanamke kutumika kama chombo cha starehe. Tutakua wajinga tukitaka mwanaume awajibike kwa mwanamke ambaye ambaye wakati wowote anaweza kumkunjulia mapaja highest bidder.

Binafsi sifikiri kama hilo ni suluhisho. Badala yake tuwajengee mabinti na wadogo zetu wa kike uwezo wa kujitegemea, ili watakapoamua kuingia kwenye mahusiano basi iwe ni kwa mapenzi yao baada ya kutathmini nia ya mwanaume. Hatuwasomeshi na kuwawezesha mabinti zetu ili waje ku-survive kupitia mahusiano.
 
Bwashwee una akili sana. Nilikuwa sijaona huu uzi.

Let me say this, the cheapest thing a man can give you is money!!!!! Muondolee mwanaume suala la hela uone atakupa nini. So pesa ndio kitu angalau cha thamani ambacho mwanaume anaweza kukupa, Mwili wa mwanaume hata sio wa thamani, sababu wanaume wengi wanalala na kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ