Wanawake ni waathirika namba moja kwenye penzi

Mwili wa mwanaume hata sio wa thamani, sababu wanaume wengi wanalala na kila mtu.
Hivi unajua kuwa asilimia kubwa ya jamii inamu-admire mwanaume ambae ana tabia ya kulala na wanawake wengi, na pia ukiuliza wadada wengi kuwa wakiwa wanaume kwa muda flani watafanya nini, wengi wao watajibu kuwa wata-sex na wanawake wengi..

Kama huamini jiulize kwanini series ya "the polygamist " imekua maarufu worldwide, moja ya sababu ni kua somehow society inamkubali mwanaume mwenye uwezo wa kulala na wanawake wengi ingawa kwa nje watamponda kiasi binti kiziwi
 
Na wewe jifunze kitu kinaitwa mind-programming/social constructs tutapata cha kuongea. Watu kushabikia kitu not necessarily wanakipenda.
 
😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…