Ha ha ha...kitu lobster...halafu kinachouma zaidi lobster mwenyewe anaguswaguswa tu juu juu,robo tatu nzima mnaacha mezani hapo
kiukweli naskia raha akilipa yeye, sana tena sana...Ila kama najua hana, hapo nitarekebisha tokea huko nyumbani, akae nazo pesa basi atalipia yeye, ila awe hana...Ila tena, kama hana ananialika twende wapi?/QUOTE]
Sometimes una akili wewe!!..me like this!!
kiukweli naskia raha akilipa yeye, sana tena sana...Ila kama najua hana, hapo nitarekebisha tokea huko nyumbani, akae nazo pesa basi atalipia yeye, ila awe hana...Ila tena, kama hana ananialika twende wapi?/QUOTE]
Sometimes una akili wewe!!..me like this!!
Mialiko ya hivyo ipo...na ni special places si kule tunakokwenda mara kwa mara. Lakini inategemea na timing maana mume wangu always yuko kamili tukienda mahali kwani anajua yeye ndie mlipaji. Narudia tena kwangu sioni kama namuumiza jamaa kulipa kwa kuwa ela yangu ni yake na yake ni yangu. Hiyo ndo point kubwa...sasa nani kalipa haibadili ukweli kuwa ela yetu imetumika.
ha ha ha, wanamme hata kama unamzidi pesa, lazima ukae nao kwa akili.
Mpe pesa akae nazo tokea home, akifika aah mambo swafi.
Hata mhudumu wa hotel akifuata bili ukimwambia analipa yule pale dada naonaga wanashtuka sana..
Hata kama alitaka kuleta pozi unaona anaufyata..lol!
akimgusa gusa, mbebeshe kwenye tissue paper aweke kwenye pochi.
Nauhakika akifika home ataruka ruka na kumla hadi magamba.
Nice topic..I miss my baby so bad..her money was mine,mine was hers,we just never thought of money at all..it always was a heartfelt pleasure to buy anything for her,..one time,as we planned for our marriage,I remember her telling me 'u know what babe,let's move in together,I'll be paying our rent'..such a woman,I miss her so bad.
Kongosho kuna wanaume wanasahau kwamba wa mbili havai moja na wa moja vile vile havai mbili. sasa wanaishiaga kuchamba kwingi mwishowe.............bora umesema, ya nini kunipeleka kwenye hotel ambazo msosi unatambuliwa kwa mboga??
Eti 'Prawns with mashed potato'
ni bora anipeleke za kiswahili ambapo msosi unatambuliwa kwa nafaka 'wali ng'ombe'
ikishindikana, hata kiosk akaninyweshe soda tu.
Sasa mbona hapa ndio gharama zaidi my dear Kaunga
Silipi bill sio kwa ajili ya gharama, lkn kwa kupata ile raha ya kutolewa na hubby. Kama nimemtoa mimi, that should be my treat, lkn akinitoa yeye; haiswihi mimi hata kuchangia, unless kasahau wallet!
sasa ngoja labda nikwambie nilichojifunza kwako kwamba nyie mna umoja in everything hilo nimelipenda sana. na kweli walia vijana wajiafunze hapa.
mimi kwangu, umoja upo sana ila tu moneywise kila mtu ana akontribute separately, like ingawa najua income yake na yeye anajua ya kwangu, but maamuzi ya mwisho yanafanywa na mtu binafsi kwa utash wake. so hata kama labda ni gari tunanunua huwa tunasema kabisa tunaweza kupata hela hiyo after how long na kila mmoja anasema anaweza kukontribute kias gani na hata kama ukishindwa akufikia lengo lakoa lkn ukaonyesha juhaudi its ok manake huwa hali halisi tunajuana.
lakin pia nina ndugu yangu siku moja aliiambia usifanye kushare cost na mr atakuliza sasa hakuwa na mashiko manake nilimuuliz ivipi akasema siku ukifa wengine wanafaid nikamwambia si kama siku yeye akifa wengine watakavyofaid? akasema wewe ndugu wa mume hawatajua kama ulichangia nikasema hicho ndo kitu cha mwisho ndugu kuniambia nikiwa hai.
mie silipii hadi tuambizane uhusiano wetu ni wa kimagaharibi au wa kiafrika?
Kama ni wa kimagharibi, inayomaanisha nitapata haki zote kulingana na makubaliano ya Beijing, basi kila mtoko nitagharimia nusu kwa nusu.
Ila kama anataka mahusiano ya kiafrika ambayo mwanamme ana sauti kama kiongozi wa kundi la wanawake anaowaongoza, basi sitalipia asilani.
Mie hapa huwa naona wanamme wanajikanganya, anataka um-treat kama african king halafu kwenye cost sharing anataka twende kimagharibi, hii haiwezekani na haikubaliki.
pole, you will meet her someday!
I paid on our first date na boyfriend wangu, from then kila tunapoenda ananiachia nilipe,daladala,bajaji ananiangalia usoni nilipe,..hadi samtaim nasingzia kuumwa ili tusitoke...NIMEKOMA..
"Kama mjuavyo mtoko ni gharama na gharama hizi mara nyingi huzibeba mwanaume,"
Aisee uu uzi umenitia machungu nikikumbuka tulitaka kugongwa na gari 2009 kisa mabishano ya pesa ya kwenda kula mahali,yani jamaa alikuwa anapesa lakini yake haitumiwi na ikafikia tukitaka kutoka naanza kumwambia awe a pesa yake aah sitaki hata kuendelea nikimfikiria. Tena he is back after 3 years yani huu uzi umenifanya niendelee kumchukia.
sijali kulipa......lakini be aware.....ni date ya ngapi......la sivyo.....your days are numbered.....