Wanawake: Ni wakati gani mnadhani ni muafaka kuanza kulipa gharama za mtoko (dates)........?

kweli kabisa ukizingatia kuwa yy ndo amekualika why not asitoboke mifuko, aka mwanaume sharti ujipinde.
 
Sikumbuki kulipia outing yoyote wakati nina-date, kwanza sikua najua hata kama natakiwa kushare cost! Siku hizi mara chache tukitoka na hubby namwambia acha nilipe, but huwa hayuko comfortable so most of the time namwacha alipe.
 
Kama uinajijua huna hela ukialikwa si ukatae? Kwani ni msiba huo? Kuna watu ni ma-snitch sijawahi ona! Yeye kila siku hana hela! Wadada especially, afu hata akiona mdada mwingine anataka kumchuna! Mweeh!
 
Well, mimi kulipia BF au mchumba mtoko haiko kwenye dictionary yangu, naweza kumfanyia labda iwe surprise ikiwa ni birthday yake au nicompansate with some other gift maybe. Lakini huwa silipi na wala sitoi offer za outings. LoL
 
kumbe Snitch ni mtu asie na hela kila siku?
aiseee lol
 
Kama uinajijua huna hela ukialikwa si ukatae? Kwani ni msiba huo? Kuna watu ni ma-snitch sijawahi ona! Yeye kila siku hana hela! Wadada especially, afu hata akiona mdada mwingine anataka kumchuna! Mweeh!

Naenda, anajiamini ndio maana kanialika
Tena nafurahi kweli maana hata mimi nilikua na hamu ya kutoka nae ila kwa kua sina hela nikanyamaza
 
Kweli kabisa.......FINANCIAL RAPE indeed!!!!!!!!

Utongozwe halafu ulipe, yaani kutongozwa ni gharama siku hizi eeeh?????

Haaaaaaaa!!!!!

yani unanifanya nispend my cash bila kutegemea kisa unataka kunitongoza??..hiyo ni financial rape....you invite me out na unilipie tuuu...
 
Ni kweli inapendeza mwanaume kulipa lakini ndio iwe ni kila siku........! Hata hakuna kulipa nusu hasara.............?

si mmekula wote, hasara ipo wapi tena mkuu! isitoshe hajakuomba umtoe OUT.Yaelekea umechunwa sana sheikh mm nilikuwa mjanja kidogo, mtoko wa kwanza tu nikiona ni mtumiaji mzuri ni stop hata akitaka anitoe yeye mwenyewe bado issue. Si nilishabaini ni mtumiaji mzuri? nani awe masikini angali rahisi kidogo wapo bwana!
 
Kweli kabisa.......FINANCIAL RAPE indeed!!!!!!!!

Utongozwe halafu ulipe, yaani kutongozwa ni gharama siku hizi eeeh?????

Haaaaaaaa!!!!!

du sasa hii ni hatari, ukibahatika kumwingiza ndani si ndio atataka umlipe kwa mwezi esp. kwa masiku yale ya ugeni?
 
Well, mimi kulipia BF au mchumba mtoko haiko kwenye dictionary yangu, naweza kumfanyia labda iwe surprise ikiwa ni birthday yake au nicompansate with some other gift maybe. Lakini huwa silipi na wala sitoi offer za outings. LoL

Hahaa,nimeipenda,hii. HAIKO KWENYE DICTIONARY YANGU..nimeongeza msamiati kichwani,thx.
 
Mtambuzi nadhani ungetuomba radhi wanaume tuliochangia huu uzi..
Kiukweli tunaishi kwenye mfumo-dume ambao mwanaume anataka kusifiwa na mwanamke anataka kunyenyekewa na Jamii inaelewa hivyo..Inakuwa ngumu kidogo kwa jamii iliyozoea maisha haya kubadilika at once..Sana sana watakuambia toa uzungu wako hapa..as if mambo ya uzunguni hawayataki. Yako mambo mengi tumeiga uzunguni pengine ni issue ya muda tu na hili litaanza kuwa applied..

Unaona mtu anasema mm bill ya mtoko silipi lakini ntalipa ada za watoto au ntanunua vyombo vya ndani au nitamnunulia hubby wangu zawadi..Na unaweza kukuta anachokufanyia kina gharama kubwa kuliko hata bill ya mtoko..Kwa hiyo unaweza kuona kuwa issue hapa sio gharama bali ni athari tu ya malezi na makuzi ya mtoto wa kike na kiume ndani ya mfumo tulionao.
 
Last edited by a moderator:

Nimepata wazo hapa...
 
Kweli kabisa.......FINANCIAL RAPE indeed!!!!!!!!

Utongozwe halafu ulipe, yaani kutongozwa ni gharama siku hizi eeeh?????

Haaaaaaaa!!!!!
sio gharama kutongoza kama ukifanya tu kitaa lakini ukiamua kuifanya hyo shughuli restaurant ujiandae kumlipia huyo msichana...
 
Naona wewe huwajui wanawake. Walipie gharama za mtoko halafu vya dezo atake nani?Unacheza na wanawake nini?
 
me like this yaani wanaume wetu wanataka usawa kwenye pesa tu, kupika na kuonsha vyomba hawataki hata kusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…