Wanawake ni watu Special sana ila basi tu

Ss
Hatuwezi kuafford kuwalipa Kaka wanawake wanatufanyia mengi Sana...Mimi huu wa 10 sijawahi kupika Wala kufua sijawahi kujishurutisha kubeba maji ya kuoga chooni...kuwalipa hatuwezi hasa ukilinganisha na vipato vyetu....
Sahihi kaka.
 
Jangine hili hapa! umeshalishwa vya kulishwa vinavyo tolewa kunako endelea kusifia na kula tuu! siku likibumbuluka! hiyo mitoto inaenda kwa baba zao!! ....unywe sumu! hatutakuona humu tenaaa!
Wewe Dada tajiri hujui utamu wa ndoa ,,ubarobaro Ni upuuzi mtupu...raha iwe ndani bhana ,,huo ujinga wa kuogopa kuchapiwa Ni utoto ,,,
 
Mkuu uko Sawa lakini?

Last time niliona unatoa povu katika Uzi mmoja hivi Kwa makasiriko kama haya.

Unateseka ukiwa wapi?
 
We ertiglul
Umesema mwanamke kaz yake ni kujipamba ??
Kuna mambo uko sahihi
Ila mwanaume na mwanamke wote wana majukumu yao
Baba atatafutq maisha kwajili ya familia
Mwanamke atasimamia majukumu yake yote ya nyumbn kikamilifu
 
Wanaweza kweli kuwa engine ya maendeleo lakini hawana taasisi ya ndoa imara.

Nje ya familia wanaonekana wapo ngangari lakini katika ngazi ya familia ambapo ndio panastahili upendo na utulivu ni majanga matupu

Anyways yote ni mitazamo Tu.
 
Mwanamke anayeongelewa hapa sio hawa unakuta miaka 13 hana bikra zote ashazilia chips mayai. Anafikia kuolewa ashatembea na wanaume wanatosh yutong tatu
 
Huu utapeli huishie hukohuko kwa waislamu.

Unafanya kazi alafu ushindwe kuchangia maendeleo ya familia yako hunifai.

Mimi siwezi kuendekeza wala kuabudu mambo yanayonikandamiza.
Wewe ni mmoja wapo mnaowafanya wanawake wawe na Maisha magumu hapa duniani.

Wanawake ni vito vya thamani vinavyopumua, wanaume tusikimbie majukumu yetu
 
Mnafarijiana wajinga nyie ulikua wapi jana wakati huyo demu wako anaposti kuwa ana nyege sana
Kwa nn hukumtoa hadi anakuja kujianika huku jf?
Wanafiki nyie

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo kpenz @To yeye

Huyu kipenz changu To yeye wewe hujamjua vizur,huku kwenye nyuzi na comment unaweza kumuona mapepe Fulani lkn upande wa pili she is so special, mwerevu na anajielewa Sana.

Usimchukulie poa kabisa.

Ananibamba Sana.
 
Dunia imeharibika sana tatzo linaanzia kwenye mifumo ya elimu tena 50/50 huanzia chekechea
 
Hehe, haya bana mkuu ila haiombwi hivyo... ungetangaza dau tu wangekuja Pm
 
Huyo kpenz @To yeye
Huyu kipenz changu To yeye wewe hujamjua vizur,huku kwenye nyuzi na comment unaweza kumuona mapepe Fulani lkn upande wa pili she is so special, mwerevu na anajielewa Sana.

Usimchukulie poa kabisa.

Ananibamba Sana.
Mwambie easy,easy... Asichukulie kila kitu serious humu ...atapata pressure za kujitakia.Asante kwa kuwa upande wangu love❀😘
 
Mwanamke anayeongelewa hapa sio hawa unakuta miaka 13 hana bikra zote ashazilia chips mayai. Anafikia kuolewa ashatembea na wanaume wanatosh yutong tatu
Loh!
You tong tatu? [emoji114][emoji114]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…