Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Kwamba wanaume wanatunza uchungu moyoni bila ya kushare na wengine kama wafanyavyo wanawake kuwa wepesi midomoni.
Mihadarati?
Kwamba wanaume ndio watumiaji wa kupindukia wa madawa ya kulevya na ulevi wa pombe wa kupindukia zaidi ya wafanyavyo wanawake.
Uchawi?
1: Kwamba mwanaume ndio wa kwanza kirahisi kuwa targeted na madhara ya kishirikina kwa maana yeye ndio huonekana mtafuta mkate pia huwa anaonekana zaidi kuwa mkombozi wa familia.
2: Kwamba matapeli, wezi, etc wengi ni wanaume kwa hio wanapomfanyia mabaya mtu fulani mtu huyo hufanya "revenge" kwa kumroga.
Tupatiane sababu nyingine kuu, Karibuni wakuu.