Wanawake ni wengi kuliko wanaume ila kila mwanamke utakayekutana naye kuwa na mwanaume

Wanawake ni wengi kuliko wanaume ila kila mwanamke utakayekutana naye kuwa na mwanaume

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Naona hawa wafanya takwimu kujua idadi ya wanaume na wanawake kuna vitu wanakosea kukusanya haya maelezo.

Idadi tunayo ambiwa ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume kama wanavosema. ila kila mwanamke unaye mtongoza lazama ana mahusiano au alikuwa na mtu!.

Nauliza idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume!
 
ni hesabu za kawaida tu, sio kila mwanamke ana mwanaume zaidi ya mmoja ila wengi wanao hivyo yote inawezekana.
 
Wanawake wengi wana mabwana 6/6! Yani unakuta demu ana vidume kavipanga sasa utamkutaje single?

Ukimuacha leo kesho utashangaa ana mtu tayari😃
 
Mwanaume mmoja anakuwa na mahusiano serious na wanawake hata wa 5 . Ndio maana kila mwanamke unaekutana nae anakujibu hivyo
 
Mwanaume mmoja, wanawake wawili. Mbona equation ina balance vizuri tu.
 
Sababu sisi wanaume tuna miliki wake zaidi ya mmoja.
 
Wanawake ni wengi kuliko wanaume ila shida ipo kwenye wanawake wanaovutia kwa wanaume ndio wachache sana na wanawake wasiovutia wanaume ndio wengi
 
Jibu ni hilo,

Wanawake hujitoa sana / huitikia mwitikio kwa haraka karibia vitu vingi

Iwe sensa, makanisani, mikutani, jumuiya na hata uchaguzi mkuu na ndio maana wanasiasa wanawahi kuwahonga wanawake kanga na viremba kwa sababu muitikio wao huwa mkubwa. Kwahiyo si kwamba wanaume ni wachache unaweza sema ni wengi zaidi ya wanawake.

Tofauti tu watia takwimu walitakiwa waseme wanawake ni wengi kwenye mwitikii kuliko wanaume.
 
Hizo ni njia zao tuu za kujitetea, mwengine atakudanganya mke wa mtu, ila ukikomaa nae, unamla vzr na kuanza kukutafuta mwenyewe kwasababu ya kunogewa.
 
Ili kujua jinsia gani ni wengi,
Jipe kazi ya kufanya sensa kwenye hospitali iliyo karibu kwa kuorodhesha idadi ya watoto wa kike na kiume wanaozaliwa ndani ya mwaka mmoja.
 
Hilo la wanawake kuwa wengi utalikuta kwa mabeberu ambako mwanaume anakuwa na mke mmoja kama njiwa......
 
Back
Top Bottom