Jibu ni hilo,
Wanawake hujitoa sana / huitikia mwitikio kwa haraka karibia vitu vingi
Iwe sensa, makanisani, mikutani, jumuiya na hata uchaguzi mkuu na ndio maana wanasiasa wanawahi kuwahonga wanawake kanga na viremba kwa sababu muitikio wao huwa mkubwa. Kwahiyo si kwamba wanaume ni wachache unaweza sema ni wengi zaidi ya wanawake.
Tofauti tu watia takwimu walitakiwa waseme wanawake ni wengi kwenye mwitikii kuliko wanaume.