Wanawake niliokutana nao. Based on a True Story

Wanawake niliokutana nao. Based on a True Story

Mkuu leo umeamkia wap maana rachel ni mmachame mara mmeru
 
Hahaaa huyo demu wa mwisho mixer alikunyoosha. Nyumba umpangie wewe mwenye nyumba agonge, inamaana alirudishiwa Kodi huyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah
 
Ahahah Aiseee Hatari Kubwa
I always wonder watu kukandia wengine huku wao Wana tabia chafu, bongo hii ukitoa watu wa ukanda wa Pwani, the rest almost wote Wana miroho mibaya ya chuki aisee lakini kunanga wengine sasa
 
Wewe mleta mada una matatizo ya akili sio mzima, tatizo ni wewe uko obssed na makabila ya watu loh, jirekebishe na uache mapungufu yako u enjoy maisha dunia hii binadamu hawajakamilika
Wewe ni mmachame au mmeru?
 
Wewe ni mmachame au mmeru?
Mimi nimecomment kulingana na mada haya Mambo ya ukabila kwangu huwa ni ujinga flani mtu anayetapa kiupaumbele namuona hamnazo kweli
 
Mimi nimecomment kulingana na mada haya Mambo ya ukabila kwangu huwa ni ujinga flani mtu anayetapa kiupaumbele namuona hamnazo kweli
Ungekuwa kama mimi ambaye niliamua kuyatafuta na nikayapata ungeelewa.Issue sio ukabila issue ni desturi za watu.Kuna makabila yana desturi ambazo zinapelekea wawe na tabia fulani ambazo ni tata.Wameru na Wamachame wanaweza kuwa katika kundi hilo
 
Back
Top Bottom