Wanawake nimenyosha mikono juu! 😅😅😅

Wanawake nimenyosha mikono juu! 😅😅😅

Una pima kiwango chako huna unakaa pembeni una pisha wenye nguvu
 
Jamaa ajiongeze mapema asije tu akafa kwa presha za huyo mwanamke.

Ila kwa Karne hi ya 21 Kuna watu bado wanadate eti? Ckuiz unakula mzigo na kusepa mazima.Sio ungoje mtu aanze kutuletea uchawa wake.
 
Back
Top Bottom