Wanawake nini hasa mnakitaka? aisee mnazingua

bioto

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,261
Reaction score
2,097
Nilipokuwa A Level demu wangu alikuwa anatoka na jamaa wa chuo. Tukazinguana kila mtu akala chobis yake.
Nikafika Chuo nikapata demu mwingine baada ya muda naye kazingua akawa anatoka na jamaa ambaye ni mfanyakazi wa serikali.
Mungu si athumani nilimaliza chuo nikaajiriwa serikalini nikapata mwanamke mwingine nikaoa kabisa. Haikupita round naye kaanza kuchepuka na jamaa flani kisa tu ana kausafiri.
Nikaona sio mbaya labda kubanana kwenye daladala hawezi, nikajichangachanga nikamnunulia kausafiri (japo ni used)
Leo nashangaa kupata habari mke wangu anatoka na kajamaa ka chuo...
Imeniuma sana hivi nyinyi kipi hasa mnachohitaji??
 
Haya Mkuu, naona mmetuamulia wiki hii! Acha tu tuwasome!
 
Unabembeleza saba Makofi yanatia heshima
 
Huwakazi kitandani buraza what do you expect!!!
pole sana wanakusaidia jukumu hilo usijari
 
Unaonekana bahiliiii, kitandani 0, halafu you are not romantic eeeee! jirekebishe kidogo
 
Duuuhhh ivi hiii inakuaje yaaan.....

Mtombeee ...mtieee vilivyo ,,heshimaaa kitombooo vingine nisawa na kupaka rangi.

AISEEEE PIGA MASHINE VILIVYO.
 
Back
Top Bottom