Peter Mwaihola
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 276
- 460
Inawezekana kila mwanaume anahitaji mapenzi kutoka kwa mwanamke katika uhusiano lakini mwanamke hupaswi kujidanganya kwamba mapenzi pekee yanatosha kwa mwanaume.
Kuna sababu mbili ambazo wanawake wanazilalamikia zaidi kwenye mahusiano. Utasikia, baada ya kumpa mwili wangu aliniacha.
Wengine utasikia wakisema "aliniacha kwa sababu nilikataa kulala nae". Zingatia kuwa waliotoa na ambao hawakutoa wote wanalalamika. je utofauti ni upi?.
Wanawake nisikilizeni, mapenzi tu hayatoshi. sio kitu pekee ambacho mwanaume anahitaji kutoka kwako.
Kama huna kitu kingine cha kumsaidia mwanaume mbali na mwili wako tafadhali baki mwenyewe.
Mwanaume hawezi kubaki na wewe eti kwa sababu amelala na wewe . Uhusiano sio kuuza na kununua.
Kuna maisha mengine zaidi anayahitaji kutoka kwako zaidi ya yale manjonjo ya chumbani.
Mwanaume anapenda mwanamke mwenye akili ya maisha.
Mwanaume anapenda mwanamke mwenye mawazo chanya.
Mwanaume anapenda mwanamke mwenye heshima.
Mapenzi ni kitu rahisi sana sikuhizi anaweza kununua wakati wowote lakini hawezi kununua ubora wa mwanamke.
Unatakiwa kujipambanua kwenye akili ya maisha zaidi ya mapenzi.
Achana na urembo wekeza kwenye uzalishaji na uchapakazi.
Mwanaume anahitaji mwanamke mwenye mawazo na suluhisho la maisha sio anaejipamba sura yake kwa rangi tofauti tofauti kama upinde wa mvua.
Anachohitaji mwanaume ni uzuri wenye akili sio urembo pekee. Badirika.
[emoji2398] Peter Mwaihola
Imetafrisiwa kutoka; Relationship Trips.