Wanawake nisikilize, Mapenzi tu hayawezi kumbakiza mwanaume

Tumegoma kukusikiliza😂😂😂😂
Akili tutatumia zenu bwana, au zimepungua mnataka tuwaongezee?
 
Imeandikwa: mke mwema anafanana na merikebu ya biashara kutoka mbali.

Hutafuta mashamba na akauanunua kwa Pesa zake 👌

Hadhi na heshima ni ngao yake .

Mumewe huheshimika malangoni.

Huucheka wakati ujao.

Huzijua njia za watu wa nyumbani mwake.

Mume wake humsifia ( baada ya kuzalisha mali)

Huwalipa wafanyakazi wa nyumbani mwake haki zao kwa wakati .

N.k
 
Huo mkia utaanzaje kuuacha kwa mfano?
 
Tofautisha mapenzi na ngono mzee vinginevyo unatuchanganya
 
..... Wanawake nisikilizeni, mapenzi tu hayatoshi. sio kitu pekee ambacho mwanaume anahitaji kutoka kwako.
Kama huna kitu kingine cha kumsaidia mwanaume mbali na mwili wako tafadhali baki mwenyewe.

Mwanaume hawezi kubaki na wewe eti kwa sababu amelala na wewe . Uhusiano sio kuuza na kununua.
Kuna maisha mengine zaidi anayahitaji kutoka kwako zaidi ya yale manjonjo ya chumbani.

Mwanaume anapenda mwanamke mwenye akili ya maisha.

Mwanaume anapenda mwanamke mwenye mawazo chanya.

Mwanaume anapenda mwanamke mwenye heshima.

Mapenzi ni kitu rahisi sana sikuhizi anaweza kununua wakati wowote lakini hawezi kununua ubora wa mwanamke.

Unatakiwa kujipambanua kwenye akili ya maisha zaidi ya mapenzi.

Achana na urembo wekeza kwenye uzalishaji na uchapakazi.

Mwanaume anahitaji mwanamke mwenye mawazo na suluhisho la maisha sio anaejipamba sura yake kwa rangi tofauti tofauti kama upinde wa mvua.

Anachohitaji mwanaume ni uzuri wenye akili sio urembo pekee..... "


🥰Wanawake Tubadilike🥰
 
Wee mdada ebu njoo pm! I am serious! Please!
 
Haya mambo wala hayana formula, date or oa mwanamke unayeona anakufaa. Uchagua sana utapata kimeo, no one is perfect!
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…