Wanawake njooni bedroom fungukeni, tujue mnataka mfanyiwe nini, semeniii yote hapa

Halafu nawewe, nimekuchongea kwa wakwe kua una mwingine, wasihangaike tena kukupa mke. Ntakutafuta bwana twenzetu pale kiston kwetu.
 
Afu wewe, hilo lindege lenu halitapata wateja ng'o hata muweke midevu ya bandia. Nimekupiga bao afro.
 
Mambo gani? Na mtoto wako ana umri gani?
Iv chuo gan huwa kinafndisha haya mambo nataka nkamsomeshe baby wangu,au walimu wa humu ndan wanisaidie,wawe wanatoa contact zao
 
Mr President... Mie nshavaa kanga moja natafuta siti hapo kwa kitanda na sofa lakini naona nafasi zimejaa ntarudi baadae.. l.o.l
 
Mr President... Mie nshavaa kanga moja natafuta siti hapo kwa kitanda na sofa lakini naona nafasi zimejaa ntarudi baadae.. l.o.l

neggirl, chumba cha Mr. President hakijai, njoo nikupakate, pia kuna floor pillows kibao waweza jilaza tu hata ukiwa na kakanga moja feel freeeeee......
 
Halafu nawewe, nimekuchongea kwa wakwe kua una mwingine, wasihangaike tena kukupa mke. Ntakutafuta bwana twenzetu pale kiston kwetu.

Ayaaaa....!!! Usinchongeee mamiii, hapa mie nimetumwa tu kama mjumbe niongee nanyi viumbe, WAKWE WATANILAANI USISEMA KWA MAMAAAA, plsee Mamushka, tuonane pale Kingston kwetu, mwambie mchumba i sili silali, sioni sisikii, she is ma perfume, honey, lover, sukari, YEYE NI WANGU MM SI WAKE, nampenda sana, Ayaaaaa.... Nimeharibuu nini....!!! see u
 
Mdono uliponza kichwa, mpaka ulipe faini ndo ntanyamaza. Mwenzio dili tayari hilo.
 
Mwanamke hajaumbwa kuwa muwazi kiasi hicho,hautaambulia chochote hapo!Fungua mlango watoke wote mwisho wa kikao!
 
unavyong'ang'aniza wakuambie are u their husband or boyfriend?mazoea yasivuke mipaka!watch yoself lol
 
Mwanamke hajaumbwa kuwa muwazi kiasi hicho,hautaambulia chochote hapo!Fungua mlango watoke wote mwisho wa kikao!

Hili nalo neno, kuna ukweli hapa, is all about women nature,
hii kweli kabisa, hapa umeona mbaliiiii....deep within women hearts Eiyer, but kati ya 100 walau 10 wataelezea kwa uwazi their sexual preferences, thanks Eiyer....
 
unavyong'ang'aniza wakuambie are u their husband or boyfriend?mazoea yasivuke mipaka!watch yoself lol

Vaislay, NAWABEMBELEZA NA KUWAOMBA VOLUNTARILY, siwa ng'ang'anizi jamani, kikao kinafika ukingoni now....
 
Mdono uliponza kichwa, mpaka ulipe faini ndo ntanyamaza. Mwenzio dili tayari hilo.

My Lovely Sister-in-law i will pay anything, usinisemeeee....hiyo kesi i can't imagine, maana itakula kwangu....nimetumwa tu hapa only that....
 
Pole sana prezdaa, ni upweke unakusumbua bila shaka ndo maana unawaza maluelue, yawezekana pia utakua unaishi mwenyewe labda kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vingi, inakupelekea kuwa muoga sana pole bwana.
Very good imagination there is a smell of truth in it
 
Umeniacha njia panda hiyo bajaj na fly540 ni njia gani hebu fafanua mi ni mmoja wa wale tuliomtuma Mr.president
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…