Wanawake njooni bedroom fungukeni, tujue mnataka mfanyiwe nini, semeniii yote hapa

Wanawake njooni bedroom fungukeni, tujue mnataka mfanyiwe nini, semeniii yote hapa

Halafu nawewe, nimekuchongea kwa wakwe kua una mwingine, wasihangaike tena kukupa mke. Ntakutafuta bwana twenzetu pale kiston kwetu.
Eeeehhh.... loooong time•••£££$$$
Mamushka najua mnavyo tuvumiliaga, tupendagaa, ila OPENESS NOW IS ONLY WAY OUT IN LOVE MAKING, ukitaka mshikaki sema, samersault sema, upate Sea breeze b4 love sema, just semaaa, we are here, that's it
Mamushka ww unanijua inside out, sitii neno tutafutane my Sister.... $$$$$$ hizi zipo....
 
Afu wewe, hilo lindege lenu halitapata wateja ng'o hata muweke midevu ya bandia. Nimekupiga bao afro.
Bujibuji i have to find you in person i admired most of ur posts, nipo Dar Airport working as an Aviatior, so ukiwa Libya nitafute tuanzishe Airlines ya Libya, even we can name it Gaddafi Airways to remember his legacy, sijui walibya watapanda, Mamushka anakusalimia sana sana
 
Mambo gani? Na mtoto wako ana umri gani?
Iv chuo gan huwa kinafndisha haya mambo nataka nkamsomeshe baby wangu,au walimu wa humu ndan wanisaidie,wawe wanatoa contact zao
 
Mr President... Mie nshavaa kanga moja natafuta siti hapo kwa kitanda na sofa lakini naona nafasi zimejaa ntarudi baadae.. l.o.l
 
Mr President... Mie nshavaa kanga moja natafuta siti hapo kwa kitanda na sofa lakini naona nafasi zimejaa ntarudi baadae.. l.o.l

neggirl, chumba cha Mr. President hakijai, njoo nikupakate, pia kuna floor pillows kibao waweza jilaza tu hata ukiwa na kakanga moja feel freeeeee......
 
Halafu nawewe, nimekuchongea kwa wakwe kua una mwingine, wasihangaike tena kukupa mke. Ntakutafuta bwana twenzetu pale kiston kwetu.

Ayaaaa....!!! Usinchongeee mamiii, hapa mie nimetumwa tu kama mjumbe niongee nanyi viumbe, WAKWE WATANILAANI USISEMA KWA MAMAAAA, plsee Mamushka, tuonane pale Kingston kwetu, mwambie mchumba i sili silali, sioni sisikii, she is ma perfume, honey, lover, sukari, YEYE NI WANGU MM SI WAKE, nampenda sana, Ayaaaaa.... Nimeharibuu nini....!!! see u
 
Mdono uliponza kichwa, mpaka ulipe faini ndo ntanyamaza. Mwenzio dili tayari hilo.

Mwanamke hajaumbwa kuwa muwazi kiasi hicho,hautaambulia chochote hapo!Fungua mlango watoke wote mwisho wa kikao!
 
unavyong'ang'aniza wakuambie are u their husband or boyfriend?mazoea yasivuke mipaka!watch yoself lol
 
Mwanamke hajaumbwa kuwa muwazi kiasi hicho,hautaambulia chochote hapo!Fungua mlango watoke wote mwisho wa kikao!

Hili nalo neno, kuna ukweli hapa, is all about women nature,
hii kweli kabisa, hapa umeona mbaliiiii....deep within women hearts Eiyer, but kati ya 100 walau 10 wataelezea kwa uwazi their sexual preferences, thanks Eiyer....
 
unavyong'ang'aniza wakuambie are u their husband or boyfriend?mazoea yasivuke mipaka!watch yoself lol

Vaislay, NAWABEMBELEZA NA KUWAOMBA VOLUNTARILY, siwa ng'ang'anizi jamani, kikao kinafika ukingoni now....
 
Mdono uliponza kichwa, mpaka ulipe faini ndo ntanyamaza. Mwenzio dili tayari hilo.

My Lovely Sister-in-law i will pay anything, usinisemeeee....hiyo kesi i can't imagine, maana itakula kwangu....nimetumwa tu hapa only that....
 
Pole sana prezdaa, ni upweke unakusumbua bila shaka ndo maana unawaza maluelue, yawezekana pia utakua unaishi mwenyewe labda kwenye nyumba kubwa yenye vyumba vingi, inakupelekea kuwa muoga sana pole bwana.
Very good imagination there is a smell of truth in it
 
kwa matazamo wangu, sex una enjoy kutegemea na ufanyaye, umemshiba na kumpenda kiasi gani na yeye performance yake ikoje. hili tendo linataka uwajibikaji wa pande zote mbili. Japo mwanamke anategemea sana uwajibikaji wa wananammme ndio na yeye apate kuchenguka sawasawa. ukibweteka na nini nitabweteka, ukidorora nitadoroa pia. ukinipagawisha, nitakupagawisha. kila mwanamke ana sehemu zake, hazifanani kwa wote, kama vile ambavyo na nyie wanaume mnatofautiana. muhimu nikuambiana. napenda uninyonye chuchu inategemea utanyonya vipi, nikikuambia nenda uvinza inategemea pia unaendaje, kwa bajaj au Fly540. kuna wanawake wanapenda uende uvinza kwa bajaj na mwingine anataka upande Fly540. kila mmoja na mapenzi yake. kujadili mara nyingine na kumjua mwenzio anapenda nini ni muhimu. huwezi kukurupuka tu ukaanza kwenda uvinza wakati mie sipendi vile tu ulieachana nae alikua anapenda. haiko hivyo. hapa kila mmoja atakuambia anavyochenguka yeye lakini si lazima na alieyekutuma wa kwake iwe hivyo.
Hope nimeeleweka japo mimi si mwandishi mzuri.
Umeniacha njia panda hiyo bajaj na fly540 ni njia gani hebu fafanua mi ni mmoja wa wale tuliomtuma Mr.president
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom