Wanawake njooni mnijuze!

Wanawake njooni mnijuze!

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,272
Nini maana ya maneno haya!?

1.Mchambo

2.Danga

3.Pambe

4.Nung'aembe ([emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787])

5.Shosti

6.Jojo

7.kishundu

8.

9.

10.
 
Title ya uzi nilisoma haraka haraka nikaona kama imeandikwa wanawake njoo mjiuze nikashtuka hadi niliposoma mara ya pili
 
Mchambo ni kusemwa kwa kusutwa au kumhabarisha mhusika kwa mtindo wa kumsema na mala nyingi ili uchambike haswa tafaa kichambo hicho kifanyike mbele za watu
Danga ni mwanaume kuzugia au jibaba analolipata binti na anakuwa nalo kwenye magusiano ya kimapenzi kwa faida haina tofauti sana na buzi
 
Back
Top Bottom