Wanawake Njooni Tuongee:- Kwanini mnaolewa na msiowapenda na Kwanini mkiolewa mnachepuka??

Vitu vinginee si vya kuzingatia haswa akiongea ke … unakuta hata hakupendi ni vile tu ana stress zake


Yawezekana mume wake bado hajamkamata vizuri moyo wake ndio maana ana hangaika
 
Walio kwenye ndoa watakumaindi mana umeweka spirit kwenye kidonda.
 
Wanawake wanavutiwa zaidi na bad boys lakini kwenye akili zao wanafikiri wanawapenda nice guys, hapa ndipo wanapofanyaga makosa wakati wa kuchagua mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…