Huyo kweny picha kule juu mwenye zigo ni jf member? Mbona nliskia wote wanapasi hukuu mkuu
Wako vizuri kuna uzi flani wanatuma picha zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kweny picha kule juu mwenye zigo ni jf member? Mbona nliskia wote wanapasi hukuu mkuu
Duu marehemu alijaaliwa
Pole yake kafa na hilo shepuKuna dada flani anaitwa Martha Mchekeshaji alifariki hapo Juzi kati Mungu ampunguzie adhabu ya Kaburi lakini Kilichonishtua ni MBOSO kuamini kuwa ana mtoto na yule dada na ukute alikuwa anatoa hela za matumizi kabisa.
Too bad familia ya binti imepinga vikali kuwa binti yao hajawahi kuzaa alikuwa analelea watoto yatima tu kama watatu hivi so nikajiuliza labda mtoto mmoja alipewa mboso na kuaminishwa kuwa ni wake au Je ni kweli binti alibeba mimba kimya kimya bila familia kujua mpaka akajifungua lakini kwa kuwa familia yake ni ya kilokole bhasi binti aliificha Mimba na Mtoto.
Kiukweli maswali ni Mengi kuliko majibu lakini kwa hili wanaume tuwe makini mwanamke anapokwambia ana mwanao Funha safari nenda kamuone kama una mashaka pima DNA kabisa kesi hii inafanana na ya MUNA japo ukweli aliusema yeye sababu Aliefariki no mwanae vipi angefariki yeye???? Wanawake hapana aisee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1217754