Wanawake Pemba wakerwa na tabia za madereva Bodaboda kuwashikashika

Hao wanataka kuwa kama wale vijana wa pale soko la Karume kwani nao huwa wana kero mno.
Hao wa karume na kariakoo wameshindikana yn wanaudhi sn na wanakera yn hd mtu ukitaka kwenda unajifikiria mara mbili mbili
 
Uzuri hao ni bodaboda, maafisa usafirishaji wao wanajua miiko ya kazi yao.
 
Hili nalo mkalitazame
 
Hata kumshika mkono kwa mwanamke ni sehem mbaya, kumbuka hao wanaolalamika ni wanawake wa kiislam
Ni sawa usemacho,na sio kwa wanawake wa kiislam, wote hawatakiwi kushikwa bila idhini yao.

Ila nilichokataa Mimi ni kusema wanawaingia maungoni kwa lengo la kuwashawishi. Big No
 
Kama huna ujualo ni bora ungepiga kimya tu
Kweli kabisa mwanaume kwanza uangalie mwanamke yuko katika aligani mwanamke kama hatiki mazoea na mwanaume uwezi mgusa wanakuwaga wakali kama mbogo
 
Tatizo lililopo ni hao wanawake kushindwa kuonyesha kuchukizwa na hiyo tabia tangia mwanzo na ndio sababu imeota mizizi.

Kwani kikawaida bodaboda huwa ni watu wenye tabia ya kujaribu jaribu.
Nawaza tu mbona huwa hawawavuti hivyo Wanaume kwa kuwashikashika kama wanavyofanya kwa Wanawake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…