Wanawake, Perfect Guy (Man) wako ana sifa na vigezo vipi?

Wanawake, Perfect Guy (Man) wako ana sifa na vigezo vipi?

Japo me Ni man
Nnaweza kuelezea kidogo
Some girls wanajua wao Ni akina Nani
Wanajiheshimu sana,kama sio kujipenda wao wenyewe.
Analengo lamaisha sio Hawa wengine

Ikumbukwe mwanamke anaanza (kumpenda) mazima mwanaume akishalala nae
Ila kwa kwa mwanaume Ni tofauti
Mwanaume anaanza (kukupenda au kukupuuza) mkisha lala pamoja
Anahitaji respect yaani usimcheat,sababu kusalitiana inamaana hamuheshimiani.
Lakini pia Kama kawaida huenda anaangalia uwezo wako wakipato....,
Ikumbukwe kua mkeo anabidi avae apendeze ,chakura nyumbani ,na mahali poa pakuishi.,
Ikiwa hayaoni haya kwako au hata dalili tu basi lazima akuzingue tu.......



Nb ukiona anakubali as nothing,,..... easy easy to basi jua yaleyaleeeee
 
Tafuta hiki kitabu hapa.

Ukimaliza hiyo volume 1 utakua umepata mengi ya kukusaidia ku deal na Anita
1233119738.jpg
 
Mwanamke mke anakupenda lakn unakuta yupo anaempenda zaidi.
Yupo dilema make anaempenda kama hayuko serious na wew anaekupenda kidogo ndo upo serious na ndoa.
Mpige kimya kwa mda husimpe attention za kumcheki kutext,calls za hapa na pale kama mwanzo hii pia itakuasaidia kama utamkosa basi it was not ment to be lakn alirudi basi atakua ashafahamu thamani yako.
 
broo umefeli sana siku hizi atutongozi kwanza

tunaanza kugonga zen tunatongoza achomoi nakwambia

sasa wewe unamtongoza kwanza unamfanya ajione keki fala uyo a.k.a mzungu flani hivi
😅😅jamn et keki
 
Back
Top Bottom