Wanawake Punguzeni kelele

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Wadada wa bongo bana, Utawasikia:
Wanaume wa siku hizi hambebekiiii hata mkibebwa mgongoni mnachana mbeleko"
Jamani kwani wanaume wa zamani wameishaa? Wapo wengi tuuu wakina Kingunge, Malechela, Mugabe, Museveni, Jangala.... watafute hao mbona unahangaika na sisi?
 
Inaelekea una shows za kizembe sana.
Ukimpa show ya kibabe hawanaga maneno, kimya kama kanyeshewa mvua.
 
Inaelekea una shows za kizembe sana.
Ukimpa show ya kibabe hawanaga maneno, kimya kama kanyeshewa mvua.
show za kibabe ndio zipi? za kikurya, katikati ya gemu unaanza kumcharanga mwenzio mapanga eti ndio unamuonesha Upendo?
 
Siku zote hawaeleweki, wako kama ile ilowapa jina... Haijulikani ipo wapi.
 
Dah....Hawa wadudu wakigongwa vizuri huwa Wapole sana....shikamoo nyiiingiiii [emoji41]
 
Reactions: THT
Dawa ya hawa wake zetu ni DUSHE tena unalipiga vizuri kwa ustadi mkubwa. Unahakikisha styles za maana hazikosi katika kujiokotea point ugenini.
cc. #teamVIBAMIA#
 
[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] word chief
 
Baada ya comment za mwanzo ku-suggest mitti kama solution, kila mtu kakimbilia huko, haya tupige mitti jamani, show za kibabe tu.
 
Kati ya miujiza aliyotenda Mungu ni kuumba Loud speaker kupitia Ubavu wa mwanaume
 
Ila utani kando mwanamke (mgalatia) akishaolewa anajisahau mno. Anajua tayari kakuweza kitu kidogo tu kelele mtaa mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…