Mowwo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 1,083
- 1,628
Bila shaka mko poa
Wakuu kwa nyakati tofauti mimi nimeshapitia mahusiano kadhaa ambayo wakati mwingine kila kitu kipo sawa lkn kwenye mapenzi kinyaa kinaondoa utamu wa penzi.
Nimewahi kua na mrembo mmoja ivi anataka afanyiwe kila kitu(umkiss mwili mzima na upige shoo ya maana, (na nilipambana🤣🙌) lakini upande wake anakwepa.
Tulizingatia usafi kabla ya Kupeana penzi lakini hata mbususu(lipkiss) anakwambia hua apendelei, blow job anauliza maswali kibaaao mf.
Inakuwaje mtu anaweza?(yeye anakuomba upige deki🤣) Au anasema hata unipe mil 10 siwezi kufanya hicho kitu, nitatapika sana.
Umewahi kudate na mtu wa hivi? Wadada, umewahi kunyimwa utamu flani kwasababu jamaa ana kinyaa? Ulifanyeje?
Ushauri;
Japo naelewa sii vitendo vyote vya mapenzi ni vya kufanya bali vile vizuri.
Kama kiafya mko sawa, anachopenda kufanyiwa ni vizuri yeye afanye pia. Sii kila mwanaume atavumilia, sidechicks hawataisha, michepuko/nyumba ndogo haitaisha, HIV/AIDS haitaisha,