Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

Wanawake Punguzeni kutembea haraka mnakosa Mabwana wa maana

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
10,892
Reaction score
3,112
Wanawake ifike mahali tembeeni pole pole sometime spidi zenu zinawakosesha Wanaume wa kuwaowa kama huyu mwenzenu

Mwezi uliopita naelekea nyumbani nikapitia njia ya Ferry ile nangia kwenye kivuko nikapaki Gari nikashuka, ile kushuka tu nikamuona binti mmoja ambae alinivutia sana na yeye akawa ananiangalia sna ila kutokana na adabu kwenda kumuongelesha mbele za watu nikaona aibu nikasema ngoja mda wakushuka nitajaribu kumfuatilia japo nlikuwa na Gari nikasema sawa cz ilikuwa mbele ila bado tukawa tunatazamana tu

Ile kushuka tu nikaona watu wa mbele ya kivuko wanakimbia sijui wanakimbilia wapi , na yeye akaunga spidi ikabidi nimfuatilie na gari nikakwama, nimeshuka najaribu kumkimbilia ile spidi nilikwama maana Gari niliiacha huku juu ningeibiwa or ingekamatwa ila yule Binti kakosa Bonge la bwana ila kila la heri kwake huenda mda huu tungekuwa tunapeleka barua kwao kama Tabia zake zingenifurahisha ila wanawake wapo wengi no way

Punguzeni mwendo shauri yenu
 
Hao ni mimi
Nikitoka kanisani nakimbia kama nmeacha familia
Saa zote natembea haraka kama nawahi mahali
Mi wadada kama hivi ndo ugonjwa wangu..

Kama kuna siku nimeingia tanzania kutokea dubai nilikuwa na matairi ya gari ndogo 4 na tv kubwa,

wakati nashuka kwenye ndege nilikutana na mdada aisee alikua very fast hadi nikashangaa.

Nilitokea kumkubali tuu huwa napenda sana wadada kama hawa hana mda wa kupoteza
 
Back
Top Bottom