Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Pole sana mkuunabado utazehekea kota mbwa wewe sura huna tako huna unataka kusaidiwa unaringa endelea kulinga najua unaumia kwa niliyoyafanya kwa muda mfupi niliokaa kazini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuunabado utazehekea kota mbwa wewe sura huna tako huna unataka kusaidiwa unaringa endelea kulinga najua unaumia kwa niliyoyafanya kwa muda mfupi niliokaa kazini.
Haaaahaaa hanasoko sura mbaya roho mbaya tako hana .Single mama gani tena huyo kakukataa?? Kweli wanaume mna hekaheka!! Ndio mjue wanawake siku hizi hawaendekezi ujinga. Hadi single maza mwenye umri mkubwa kakukataa 😂😂😂
Imekuingia au tupake tena?
Mbona unamlilia sasa? 😂😂Haaaahaaa hanasoko sura mbaya roho mbaya tako hana .
Sura ya nyani shape ya kima muonekano wa tumbili au sio?Haaaahaaa hanasoko sura mbaya roho mbaya tako hana .
Akisema utampa?Na hapo bado hujasema 😂
Haaaahaaaaa kabisaSura ya nyani shape ya kima muonekano wa tumbili au sio?
Haaaaahaaaa nikweli mkuuhakuna kitu kinauma kama kukataliwa na mtu ambaye ulikuwa na uhakika kabisa atakukubalia
Angekuwa akili kubwa angetapeliwa na lijamaa hadi akazimia.huyo mwanamke ni akili kubwa na amefanya uamuzi sahihi sana wa kukunyima utamu wake.
Sana mbwa huyu amemkataa jamaa yangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila kukataliwa kubaya!!
Akataliwe jamaa yako, uchungu upate wewe na vichambo juu!!Sana mbwa huyu amemkataa jamaa yangu
Nani abembeleze mwanamkeKuringa, kuwa na aibu, kupenda kubembelezwa ni asili ya mwanamke.