Wanawake punguzeni maringo

Wanawake punguzeni maringo

Single maza wa miaka 40 kila mtoto na baba yake na anaishi kota bado akukatae hahaha hatari sana

Ila mwanetu naye kwa nini ahangaike na single maza mshangazi wakati kuna vibinti vibichi kabisa
Jamaa povu limemtoka balaa naona alikataliwa na matusi juu alitukanwa maana si kwa maneno haya
 
Single mama gani tena huyo kakukataa?? Kweli wanaume mna hekaheka!! Ndio mjue wanawake siku hizi hawaendekezi ujinga. Hadi single maza mwenye umri mkubwa kakukataa 😂😂😂
Eti kwakuwa ni single mom ndio akubali kila aina ya dyudyu🤣🤣🤣
 
Wasalam wakuu.

Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wadada kuwa na maringo. Unakuta mwanamke miaka 40 kupanda unatongzwa halafu anaweka maringo. Mkae mkijua wanaume wa sasa sio wakizamani ukiringa wanakukaushia.

Mtu mwenyewe sura mbaya hali ngumu watoto kama wote kila mtoto na baba yake wanakuzalishi na kukuacha halafu leo unapewa laki unaringa wakati unanjaa kama zote Haya endelea kulinga utakuja kuzikumbukua.

Najua unaringa kwasababu nimekukuta kota na nimejenga nikakuacha kota kibaya zaidi nimehama na kituo cha kazi .mtu unamiaka kumi na moja kazini hauna hata kiwanja.mimi miaka miwili nipo kwangu.nabado utazehekea kota wewe sura huna unataka kusaidiwa unaringa endelea kulinga najua unaumia kwa niliyoyafanya kwa muda mfupi niliokaa kazini.

Utakufa na roho mbaya yako ndiomaana haunenepi .
Una mambo yabkike sn jo. Si ajabu alijua akikubali utamtangaza

Una mambo ya kike sn, si ajabu alijua akikubali utamtangaza
 
sura hana,tako hana, njaaa kama Zote na bado anaringa sasa ngoja jamaaa yangu apite na mtoto wake.
 
Wasalam wakuu.

Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wadada kuwa na maringo. Unakuta mwanamke miaka 40 kupanda unatongzwa halafu anaweka maringo. Mkae mkijua wanaume wa sasa sio wakizamani ukiringa wanakukaushia.

Mtu mwenyewe sura mbaya hali ngumu watoto kama wote kila mtoto na baba yake wanakuzalishi na kukuacha halafu leo unapewa laki unaringa wakati unanjaa kama zote Haya endelea kulinga utakuja kuzikumbukua.

Najua unaringa kwasababu nimekukuta kota na nimejenga nikakuacha kota kibaya zaidi nimehama na kituo cha kazi .mtu unamiaka kumi na moja kazini hauna hata kiwanja.mimi miaka miwili nipo kwangu.nabado utazehekea kota wewe sura huna unataka kusaidiwa unaringa endelea kulinga najua unaumia kwa niliyoyafanya kwa muda mfupi niliokaa kazini.

Utakufa na roho mbaya yako ndiomaana haunenepi .
haya
 
Sasa kilichokuumiza ni Nini mtu ni chake ameringa mwache Kuna mtu anayemfanya aringe wewe huingii Kwa huyo jamaa

Wewe imbisha Kwa yule anayekubali akikataa mwache

Mtu chake
 
Back
Top Bottom