Wanawake Punguzeni Mtatuua Jamani

KijanaHuru

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,822
Reaction score
2,320
Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe!

MUME: Amka twende jogging mke wangu?
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?

MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya.
MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa?

MUME: Basi yaishe endelea kulala
MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio?

MUME: Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby
MKE: Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?
MUME: Jamani mi sijasema hilo
MKE: Kwa hiyo mie muongo?

MUME: Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii
MKE: Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?

MUME: Sikia we lala mie naenda jogging.
MKE: Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"

MUME: Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe...

MUME: Basi ngoja tu nilale siendi jogging
Mke: Kwahiyo ulikua unanijaribu?

Wanawake Mungu anawaona
 
Jamaa hakugegeda vilivyo usiku!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani badala ya kumuamsha ugonge menu unawaza jogging? kweli kwenye miti hakuna wajenzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…