Wanawake punguzeni uchafu huu mwilini unakera wanaume

ukimwona mwanaume kazeeka mvi ama kipara kimekuja kichwani basi kofia haibanduki kichwani kumbe ndio anaongeza kipara kwa joto, ukiona mwanamke kazeeka nywele zimeaanza kuwa na mvi ama zinapukutika basi mawigi hayakosekani kichwani
 
Mzee naunga hojaa ilaa wanapendeza baadhi lakini wengi wao hawapendezii

Ilaa kablaa sijalala na mwanamke yeyote lazimaa tukaoge kwanza...tubaki na uhalisiaa...
 
Bora umeongea mkuu. Mimi huwa siwaelewagi kabisa halafu wenyewe unakuta wanasifiana kabisa ... Shosti umependeza yani mtu sura imekua nzito aisee badilikeni jaribuni muwe wahalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…