Wanawake punguzeni uchafu huu mwilini unakera wanaume

Mi naonaga kinyaa Sana kwakweli,Kama Mimi nakufuata Niko msafi hadi nguo za ndani,nanukia vizuri iweje wewe uhangaike kuvaa mavitu ya ajabu ajabu kwakweli manywele mnayovaaga huwa tunataman kutapika....tunajikaza tu
Lakini huu ni msimamo wako binafsi sio wa wanaume wote
 
Gari zikipata ajali zinawekwa puti ili surface iwe smooth wapake rangi.
Kuna wanawake wanaweka puti kila siku. Hivi wanapata ajali kila siku?
 
Hivi nini hasa sababu ya Msingi ya mwanamke kuvaa wigi?
Wengi wanakuwa kama CANNIBALS(Binadamu wala watu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…