1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama hilo kwenye Avatar yako mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama hilo kwenye Avatar yako mkuu
Oooh. Good boywee mdada mambo!!
naomba ni DM please
Eeeh ndio ndio mimi ni twende kilioni mwanzo mwisho.... No lipstick no makeup [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ww nakuelewa sanaaa,,
Huwa huna hayo mambo ya wigi
HeheheMbona wanawake wasiopaka hivyo vitu wapo wengi sana? Kwanini usiwafuate hao?
Au huwa wanapaka baada ya wewe kuwa approach?
NdioNaomba kujua kama huu ni msimamo wa wanaume wote
Mbona wapo wengine wamekataa hapahapa kwenye commentsNdio
Lakini huu ni msimamo wako binafsi sio wa wanaume woteMi naonaga kinyaa Sana kwakweli,Kama Mimi nakufuata Niko msafi hadi nguo za ndani,nanukia vizuri iweje wewe uhangaike kuvaa mavitu ya ajabu ajabu kwakweli manywele mnayovaaga huwa tunataman kutapika....tunajikaza tu
Shem nimekupenda ghafra.Wanaume hamueleweki ukijipodoa anakusifia kumbe moyoni hampendi aah Nashukuru mm sipendagi hayo malangwisaaa
Wanaume wote.Naomba kujua kama huu ni msimamo wa wanaume wote
Kasema kweli. Mawigi mengine shida kabisa.Wanaume hamueleweki ukijipodoa anakusifia kumbe moyoni hampendi aah Nashukuru mm sipendagi hayo malangwisaaa
Leo kila mwanaume anachukia mawigiIngekua haya unayosema mleta mada ni ya kweli
Mimi ningeongoza kwa wachumba..maana sio mshirika wa ivyo vitu