Wanawake punguzeni uchafu huu mwilini unakera wanaume

Wanawake punguzeni uchafu huu mwilini unakera wanaume

Wigs na hili jua plus joto la dsm,ndani ya daladala imejaa full........ hatari sana kwa uvundo
 
Waacheni na maisha yao. Ukiona unateseka na maisha ya wengine ujue wewe ndio una shida.
 
Maana tusiopaka Wala kuvaa wigs tupo wengi,hatuoni kweli?
Hawa ni wasumbufu tu, nimeacha kuwazingatia kabisa. Mimi nakata nywele ajabu nilipata mtu ananisumbua nisuke utadhani wanaosuka hawaoni.
 
Hawa ni wasumbufu tu nimeacha kuwazingatia kabisa. Mimi nakata nywele ajabu nilipata mtu ananisumbua nisuke utadhani wanaosuka hawaoni.
🤣🤣🤣🤣 Ni washamba,hawajui wanataka nini...kinachowasumbua ni kujiona wao ndo wapo perfect Sana
 
Wanaume hamueleweki ukijipodoa anakusifia kumbe moyoni hampendi aah Nashukuru mm sipendagi hayo malangwisaaa
Principle yangu ni kwamba, Ukijipodoa nakuita MREMBO, usipojiweka "malangwisaaa" nitakuona MZURI!
 
Back
Top Bottom