Wanawake punguzeni uongo

Mkuu kama kweli ulimpenda, swali hilo si zuri! Hivi mfano angekujibu kua ashadate na 20 men, vipi ungejiskiaje kua nae! Ujue sku zote wanawake na hata wanaume hupenda kuwapa wenz wao majibu yatakayowafanya wawe na amani! Swali kama hilo hata kama ni wewe ungeulizwa sidhani kama ungeongea ukweli!
 
Sasa na wew uliulizaje swali kama wakati unajua ashagegedwa sana
 


Sasa wewe ulitaka akudanganye kadate na wangapi???--- ulitaka aseme kadate na 100 ili uanze kumnyanyasa na kumdharau kwamba ni mama poa??!!--- wewe chukua mzigo tu bila kujali how many men she dated with,.
 
Kamtoa bk mtu 1 at the age of 20 labda wakadumu 3yrs akapumzika 1yr akadate 3yrs tena wakaachana

Sasa unashangaa nini kuna watu hawana nyeti za promosheni mkuu usishangae
Bk inatolewa at the age of 13 years
 
Kamtoa bk mtu 1 at the age of 20 labda wakadumu 3yrs akapumzika 1yr akadate 3yrs tena wakaachana

Sasa unashangaa nini kuna watu hawana nyeti za promosheni mkuu usishangae
Wewe upo kwenye kundi lipi ?
 
Shida ako nin sasa, kama ulitaka kumtongoza ilikuwa haina haja ya kumuuliza mtu kuhusu previous relationship zake
 
Mkuu hilo jambo la kawaida. Kuna wadada wanajiheshimu sana. Hawana mambo ya kurukaruka hovyo. Si ajabu mdada hata akiwa 40 awe akipita na watu wawili tu. Wapo wengi tu ambao anakuwa na mtu mmoja tu au wawili. Ila kuna micharuko nayo mingi uwa inatumia kujificha na kudanganya kuwa ni wawili kumbe hakumbuki idadi. So si ajabu kwa mdada hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…