wanawake sa ingine mnajifedhehesha!

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,075
Umeolewa,una kazi nzuri,mme ni mfanyibiashara,mambo yake yamechanganya,nice house,gari,watoto shule za bei mbaya etc , lakini kila kukicha unahisi ana mahawara.The fact kwamba mmeo ni mhangaikaji kila wakati bize kwenye simu. Mume ana matatizo TRA,anayemsaidia ni mdada,anapigiwa simu wakati mko pamoja sebuleni,anapokea na kuongea na huyo mdada,mke anasikia sauti ya kike kwa mbali,presha inapanda inashuka.Anavizia mzee amekwenda toilet anachukua simu ya mmewe na kuscroll last number received,anai note,anai set simu yake kwenye sms na kumwandika mama wa watu ujumbe huu:
"Nani wewe unampigia simu mume wangu (anamtaja kwa jina),malaya mkubwa wewe,kwanza una ukimwi,mkome mme wangu...etc etc". Upande wa pili mama wa watu anapokea ujumbe huo wakati yeye ndo anahangaika kwa nia njema kumsaidia jamaa mambo yake ya kodi......just imagine,halafu ni mama mtu mzima ana heshima zake.
Yaani....nimechoka kabisa.
 
mmh! Leo chit chat wamekufukuza?

Pole B, kumbe weye fanyabiashara? Basi ukutane samwhere nikakubembeleze.
 
Pole sana Bishanga, insecurity hiyo punguza mazingira ya kutokuaminika! Wote mna role ya kuplay, wanawake tunataka kuwa reassured now n then; hiyo list ya material things lazima iwe complimented na mambo ya intimacy isiyo kuwa shared na third party!

Sina cha kumwambia huyo mwanamke coz hayupo hapa, uliepo ni wewe!
 
Inakera kupita maelezo, dizani hii ya wanawake ndo huzialika nyumba ndogo wao wenyewe.
 

Ulimueleza mkeo hiyo mipango lakini!.
 
Bishanga jana nilikuwa mahali mida ya swala ya magharibi, nimekaa nje navuta kinywaji ghafla kaja mama kapaki gari lake kisha akatoka kachukua gari nyingine ambayo ilikuwa imepakiwa kwenye lot na nilipoingia niliikuta. ila alikuwa na ufunguo so hakuna aliyewaza chochote juu ya yule mama.

kumbe bana gari ile ni y mumewe na kuna wapashkuna wa jiji walimweleza juu ya uwepo wa mumewe pale kwenye ile hotel so alichukua funguo zaspea na kaondoka na gari na kuacha ya kwake bila funguo ili kumdhalilisha. sasa mumewe alipotoka ndipo alipofikir like kaja na gari ile na kuangalia funguo alizo nazo ni za gari nyingine so hawez kutoka na ile gari pale. yule baba alileta tafrani kwa walinzi wa hotel lakin aliposema kuwa hata hiia gari nyingine ni ya kwake basi akashauriwa atulie wanza aone mwisho wa mchezo.

jamani baada ya kama dk 45 hivi mkewe karudi na tax kujakufuata gari lol walizi wakamjia juu ndipo mumewe akaitwa kuja ni mkewe jamani sitaki kusema nilichoshuhudia yaani ni fedheha ya ajabu, mama alitembezewa kichapo ambacho kilikuwa hadharani niliumia sana nikasema hivi lini sisi wanawake tutabadilika?
 
Last edited by a moderator:

ukiona mwanamke anagombana na mwanamke mwenzie kwa ajili ya mwanaume ujue hajitambui; msaidie ajitambue.
 
we mwache....hanijui.
 
usikimbilie kwenye hili.

Labda bishanga hajajenga mazingira ya kuaminiwa, kama kila siku ana mwacha na maswali basi mke lazima awe insecure.
unatetea ujinga?
 
Hao ndio wale wale walokwenda shule lakini ustarabu sifuri,yeye mda na mumewe hana wakukaanae akajua siku yake imekwendaje au kuna mpya gani na pengine angemueleza au angemshirikisha,hodari wakubomoa kujenga hawezi....
 
tatizo lako humshirikishi, akuibie nini wkati una madeni hadi puani?

Ndo utatia akili ya kuwa unampa japo hint ya mambo ufanyayo.

wanawake unawajua unawasikia? umueleze mishemishe zako ili iweje? hujawahi kusikia mke aliyemlipua mmewe polisi jamaa akaishia segerea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…