wanawake sa ingine mnajifedhehesha!

wanawake sa ingine mnajifedhehesha!

sasa unaficha, siku ukifa nani atarithi?

Na atajua unamiliki nini na nini na viko wapi?

Kama humuamini kiasi hiki bora nioe mie tu.
sioni tatizo mke kujua assets zangu,kwanza ni vizuri,lakini mishemishe za mjini napataje hela,napitia kona gani,viunzi gani naruka,hiyo simwambii,wanawake hawana muamana bana.
nikuoe wewe nipate wazimu,mtu mwenyewe mgomvi ka nini!
 
Mzee mwenzangu Bishanga huyo mwanamke atakuwa alishitukia tone of voice ya mume, maana inawezekana haikuwa ya kikazi zaidi, bali mahaba........
Chezea wanawake weye, wana saikolojia ya hali ya juu, japo hawana vyeti vya taaluma hiyo................LOL
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha, pole bishanga.

Unaona sasa mkeo kakuruka kama kiunzi kaenda kutua kwa mama wa watu huko TRA?

Na wale wamama walivyo wanene afu wamekaa ki bibi titi mohamedi umemtesa sana.

Jumatatu nenda angalau umambusu tu.

mzushi tu bana,maongezi yalikuwa ni ya kikazi.
 
nakusubiri siku vya kwako vikibambaruka uje kulia hapa,ndo utanijua siku hiyo....hata chembe ya sympathy..kha!
 
afu umetumia version ya zamani, gesti zinaitwa TRA afu ndom zinaitwa kodi, afu mchezo unaitwa mishe mishe.

Lol, umestukiwa.

mzushi tu bana,maongezi yalikuwa ni ya kikazi.
 
ha ha ha ha, mkeo kakubambarua?

Ana akili, sijui nimpe zawadi.

Back
Top Bottom