Wanawake safisheni jiji obama apite!!!

ahahahahahahahaha nivea huyo

.......inaanza na mtu mmoja mmoja!!
heheheeheh wifi yangu Erickb52 kaka angu huyu alisema hakuwahi ona savana kuzunguka eneo la nyumba yenu inaonyesha wasafisha jiji kweli kweli obama is here next week
 
Last edited by a moderator:
heheheeheh wifi yangu Erickb52 kaka angu huyu alisema hakuwahi ona savana kuzunguka eneo la nyumba yenu inaonyesha wasafisha jiji kweli kweli obama is here next week
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi....yaaani nimeishiwa maneno...hahaaaa
Lazima njia ifanyiwe usafi...gari linapita kwa kasi taka zisije chafua vioo buree tukapata ajali
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi....yaaani nimeishiwa maneno...hahaaaa
lazima njia ifanyiwe usafi...gari linapita kwa kasi taka zisije chafua vioo buree tukapata ajali
halafu unakuta gari lenyewe lilikuwa halina mafuta siku nyingi ndio full tank lita act liki fyekeo la jiji hahahahaahah fanya kazi huyo mumeo Erickb52 japo ni kaka yangu wa damu lakini ni kama nyumba yakupanga ukiachika uwe na kianzio mamito kwangu sipokei wifi asiye na ndoa hahahaahahaah
 
Last edited by a moderator:
hahahah paloma bwana jiji umesafisha lakini shostito ili sosoliso apite il apole kwa msiba mamie haya mambo sitakagi yasikia hasa kwa watu wangu wa karibu kama wewe .

hahahaa jiji safi yani sosoliso anapita kwa kutambaaa na asipate michubuko
manake kwa jinsi lilivofagiliwa na kufyekwa..........burrrrdaaaan kabisa!!!

asante mwaya, kazi mungu hatuna budi kukubali!
 
Last edited by a moderator:
hahahaa jiji safi yani sosoliso anapita kwa kutambaaa na asipate michubuko
manake kwa jinsi lilivofagiliwa na kufyekwa..........burrrrdaaaan kabisa!!!

asante mwaya, kazi mungu hatuna budi kukubali!
aione sosoliso mwee anafwaidi obama wako ee
 
Last edited by a moderator:

lol kumbe husafishagi???????
 

Bidada.... Misitu mingine ni ya HIFADHI YA TAIFA haitakiwi kufyekwa!
 
jamani mbona hatukuelewi wewe bestito ndo kitendawili hichi tutegue au ndo nini haya charminglady come this way
 
Last edited by a moderator:
Bidada.... Misitu mingine ni ya HIFADHI YA TAIFA haitakiwi kufyekwa!
basi obama anapata tabu sana atafika ikulu au atakuwa amechoma mafuta ta ndege na mameli bure jamani na mikataba hatasaini jamani fwagia afwike ikulu
 
basi obama anapata tabu sana atafika ikulu au atakuwa amechoma mafuta ta ndege na mameli bure jamani na mikataba hatasaini jamani fwagia afwike ikulu

Ngoja aende kwingine make hii Hifadhi ya Taifa inalipa sana kuliko ziara yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…