Wanawake shikamoo

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Ninyi watu mnatakiwa muishi dunia yenu peke yenu kijana wa watu kalizwa uko unabeba vitu unaenda navyo wapi kwanini usitafute vyako tusinyonyane




Huyu mwingine kagundua style mpya ya kusaka mende au panya uvunguni πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ

 
Bora kuwa mcha Mungu kwa ukweli,utaepuka mambo haya;Kina mama tuishi nao kwa Akili!
 
Wanaume sisi wazaifu
Sana mkuu,jamaa yangu Mmoja ni injia alikuwa mtu wa kinywaji sana, Jamaa zake wakawa hawampi Dili kwa ulevi, mwanamke wake nae akamtosa kwa kumdhalilsha mbele za watu Bar kwamba anaiba mawigi kwa kubadilishana na kilaji!Hee Jamaa akaapa hatokaa akamrudia.Mara jamaa akaacha Pombe washikaji ,wakaanza kumpa Dili,hela ikarudi mahala pake mfukoni,karudi Tena kwa baby wa mawigi! HATARI!!!
 
Sio yeye uyo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…