Wanawake shikamoo

Nipeni namba ya huyo mdada wa uvunguni, kuna jambo nataka kumuuliza.
 
Sio wote hata Sodoma na Gomorrah walikuwepo!
Bisha lakini asilimia kubwa ya wacha Mungu ni wazinzi, never trust kiongozi yoyote wa dini, utalostika. Angalia wasanii wa kutomba wake wa waumini wao, ni viongozi wa dini. Waimbaji kwaya makanisani wanakulana wenyewe kwa wenyewe na ni wanafiki kishenzi. Wachawi wakubwa ni mashehe na maustadh na wote hawa ni viongozi wa dini wanao aminiwa.
 
Sibishi Wala sikatai,ila waamunifu wapo!
 
Story ya upande mmoja hiyo, alimfanyia nini huyo mwanamke mpaka abebe vitu vyote??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…