Wanawake shikamoo

Wanawake shikamoo

Ninyi watu mnatakiwa muishi dunia yenu peke yenu kijana wa watu kalizwa uko unabeba vitu unaenda navyo wapi kwanini usitafute vyako tusinyonyane

View attachment 3227748


Huyu mwingine kagundua style mpya ya kusaka mende au panya uvunguni 🤣🤣🙌

View attachment 3227749
Muishi na wanawake mliowaoa sio okota okota, si mnajidai kataa ndoa, acha unyooshwe, halafu bila aibu unamuuliza huyo mtumishi zinaa ajabu, Rafiki jipange uoe si vinginevyo na inawezekana hata kwao hupajui.
 
Hahaha...........kwangu nimeweka utaratibu, hela za Kodi anapokea Bibi yenu

Mimi Sina direct interaction na Wapangaji, nakwepa mitego ya hao Wapangaji mabinti

Kuna mmoja alipangiwa Chumba na Jamaa fulani, baada ya muda akamfumania, kwahiyo Mwanaume akasitisha kumlipia Kodi.

Baada ya kupitisha Siku 11 bila kulipa Kodi nikamwambia Bibi yenu akamwondoe [emoji12]
Naomba nipange kwako Gran Pah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Ninyi watu mnatakiwa muishi dunia yenu peke yenu kijana wa watu kalizwa uko unabeba vitu unaenda navyo wapi kwanini usitafute vyako tusinyonyane

View attachment 3227748


Huyu mwingine kagundua style mpya ya kusaka mende au panya uvunguni [emoji1787][emoji1787][emoji119]

View attachment 3227749
Huyo mzee alivyoropoka ni hatari na nusu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom