Wanawake shikamoo

Wanawake shikamoo

Hahaha...........kwangu nimeweka utaratibu, hela za Kodi anapokea Bibi yenu

Mimi Sina direct interaction na Wapangaji, nakwepa mitego ya hao Wapangaji mabinti

Kuna mmoja alipangiwa Chumba na Jamaa fulani, baada ya muda akamfumania, kwahiyo Mwanaume akasitisha kumlipia Kodi.

Baada ya kupitisha Siku 11 bila kulipa Kodi nikamwambia Bibi yenu akamwondoe 😜
Ahahah ukutaka kwenda akupe za uvungi
 
Hahahaha 😂 😂 Jamaniiii ziwekwe voice humu watu tucheke kwa sauti 😂😂😂😂😂
Iyo stlye kwanza ushaiweza?
 
Kuna mambo mengine tulitakiwa kujifunza mapema sana, ukifikia umri wa kuwa serious na maisha visikusumbue tena
 
Back
Top Bottom