Yaani unadate na mtu anakutumia
msg,Babe naomba unisaidie kitu kimoja,unajua Baba
ameishiwa hela kabisa hapa
home hapaeleweki please nisaidie hela' Khaa!sasa
mimi nilikutongoza wewe au nilitongoza ukoo wenu
mzima???Babako kuishiwa hela mimi inanihusu nini??Mwambie
akadai mafao ya Wastaafu wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki! Kesho
utasema unaomba hela shangazi anunue
cherehani...Girls muwe serious, Mizinga kwa sasa ni
adui namba moja wa mapenzi!!