Wanawake Shikeni Adabu zenu..!!

Wanawake Shikeni Adabu zenu..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Yaani unadate na mtu anakutumia
msg,Babe naomba unisaidie kitu kimoja,unajua Baba
ameishiwa hela kabisa hapa
home hapaeleweki please nisaidie hela' Khaa!sasa
mimi nilikutongoza wewe au nilitongoza ukoo wenu
mzima???Babako kuishiwa hela mimi inanihusu nini??Mwambie
akadai mafao ya Wastaafu wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki! Kesho
utasema unaomba hela shangazi anunue
cherehani...Girls muwe serious, Mizinga kwa sasa ni
adui namba moja wa mapenzi!!
 
Hahaha...eti baba ameishiwaaa. Atakuwa hana akili sasa mapenzi yenu na baba yake kuishiwa yanahusiana vipi? Si aishiwe au abunkrupt kbs
 
Hahaha...eti baba ameishiwaaa. Atakuwa hana akili sasa mapenzi yenu na baba yake kuishiwa yanahusiana vipi? Si aishiwe au abunkrupt kbs
Bado naitumia ile tekniki ya WA MEE...babeki
 
Yamekukuta eeeehhh? Pole. Ndio changamoto za mujini hizo. Jipange kukabiliana nazo.
 
Ivi unavyolalamikaga ivi katika real life huwa hutoi kweli ama ni mbwembwe tu za jf??
 
Mkuu umenikumbusha ile bongo movie ya 14 days asee, kama ume copy na kupest vilee,

*Jb anakwambia sijamuona mama yako wala Dada yako wala familia yako nimekuoa we we tuuu*
 
Yaani unadate na mtu anakutumia
msg,Babe naomba unisaidie kitu kimoja,unajua Baba
ameishiwa hela kabisa hapa
home hapaeleweki please nisaidie hela' Khaa!sasa
mimi nilikutongoza wewe au nilitongoza ukoo wenu
mzima???Babako kuishiwa hela mimi inanihusu nini??Mwambie
akadai mafao ya Wastaafu wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki! Kesho
utasema unaomba hela shangazi anunue
cherehani...Girls muwe serious, Mizinga kwa sasa ni
adui namba moja wa mapenzi!!

Hahaha mkuu pole sana maan post zako nyng huwa unalalamika sas cjui kwann huwa yanakukuta ww tu 😀 😀

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom