Wanawake Shtukeni

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Ikifika Jumamosi atakubembeleza kweli,"Babe
Nimekumiss Njoo Home". Ukienda Utajikuta
umempikia Utajifanya Wife Material utamfulia
viboxer vyake vya mpira vilivyopauka
rangi,Utajiangalizisha Muvi mwisho wa Siku
ANAKUPANDA FRESHII.., Ukiondoka hata kujibu meseji zako ni mtihani na Hakutafuti tenaaa mpaka
Jumamosi tena ndo unaona Vimeseji wa Mahaba
Feki vinaanza Halafu Umemsevu HUBBY...Hilo sio jina
sahihi...Si Anaonekana mara 1 kwa wiki??.. Msevu
WEEKEND!!
 
Attention Seeker.
Wanaoenda ni hao wanawake tena kwa utashi wao kabisa na sio wewe.
Acha kuwafundisha watu wazima unachotaka wao wafanye. Wanapenda hivyo na wanafurahia.
 
Attention Seeker.
Wanaoenda ni hao wanawake tena kwa utashi wao kabisa na sio wewe.
Acha kuwafundisha watu wazima unachotaka wao wafanye. Wanapenda hivyo na wanafurahia.
Au sio?
 
Attention Seeker.
Wanaoenda ni hao wanawake tena kwa utashi wao kabisa na sio wewe.
Acha kuwafundisha watu wazima unachotaka wao wafanye. Wanapenda hivyo na wanafurahia.
au labda anawaonea wivu hao madem, heh
 
hahhhaa
 
Ila kweli.mshituke maan mtakuj kujikuta mmebaki makapi na mtakosa wa kuwaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…