STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Ikifika Jumamosi atakubembeleza kweli,"Babe
Nimekumiss Njoo Home". Ukienda Utajikuta
umempikia Utajifanya Wife Material utamfulia
viboxer vyake vya mpira vilivyopauka
rangi,Utajiangalizisha Muvi mwisho wa Siku
ANAKUPANDA FRESHII.., Ukiondoka hata kujibu meseji zako ni mtihani na Hakutafuti tenaaa mpaka
Jumamosi tena ndo unaona Vimeseji wa Mahaba
Feki vinaanza Halafu Umemsevu HUBBY...Hilo sio jina
sahihi...Si Anaonekana mara 1 kwa wiki??.. Msevu
WEEKEND!!