comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Nshaonyesha kila dalili SITAKI mdogo wako wa kike aje kukaa na sisi lakini unalazimisha, akija nikishindwa kujizuia tusije tukalaumiana.
Atakua kama substitute kuendelea kukusaidia kufidia kibunda changu cha mahari nlichotoa maana hakuna namna.
Atakua kama substitute kuendelea kukusaidia kufidia kibunda changu cha mahari nlichotoa maana hakuna namna.