Wanawake sio watu wamchezo kabisa

Wanawake sio watu wamchezo kabisa

kuna jamaa alinitongoza nikamuomba anikopeshe elf 30 nitamlipa mwisho wa mwezi akanipa eti mwisho wa mwezi akaanza kunidai kweli loh nilishangaa sana yaani
Sio huyo tu hata mimi nakudai ulinikopa hukuniomba ya kutumia..!!??
Sasa lazima itifaki izangatiwe
 
kuna jamaa alinitongoza nikamuomba anikopeshe elf 30 nitamlipa mwisho wa mwezi akanipa eti mwisho wa mwezi akaanza kunidai kweli loh nilishangaa sana yaani
kwani wewe ulimpa huo utamu wa huko chini................?
 
Daa me kaniomba simu kitambo sana,juzi kabla ya xmass nikapata ka-allowance ka sikukuu.
Nikasema 150000 hii hapa kanunue simu,
Hee et me simu siitaki tena,nataka gauni na viatu,nikamwambie kanunue tu wala haina shida,akanunua.
Mungu wng kuanzia Jana nimebanwa simu sipumui,mara nitafanya lolote lile niwe na simu.Nimemwambia Fanya upo huru na sio mwili wangu, kanuna balaa.Hawa watu mmmh shida.
 
afadhali hata wewe alikukopesha mimi huku ni balaa mizinga hadi natamani kuzima simu....... alafu mkuu msimu huu wa sikukuu mizinga inazidi hadi noma....mi kuna kadhaa nishawaweka blacklist....alianza A mara bebi nitumie elf 25 niende salooni nikapiga blacklist,akaja B nitumie nauli elf 30 tumeshafunga chuo(haka kako nursing huko singida),akaja C,,bebi simu yangu imepasuka kioo naomba uniongezee elf 40 nikanunue mpya,akaja D eti oooh bebi naumwa naomba elfu 30 niende hospital....ukicheki mzee mzima kamshahara hakajatosha...nikawaweka BLACKLIST
 
kama kutongoswa ni pesa
issue ni kuendelea kuwa mwepesi
 
kuna jamaa alinitongoza nikamuomba anikopeshe elf 30 nitamlipa mwisho wa mwezi akanipa eti mwisho wa mwezi akaanza kunidai kweli loh nilishangaa sana yaani
Kwani si mlikubaliana kuwa utalipa!? Sasa yakupasa ulipe nata kama ni mie ningekudai[emoji85] [emoji85] [emoji12] [emoji12]
 
Duuuùuuuuuuuuuh apo kweli ndo utakubaliana na mawazo ya Ditto moyo sukuma damu tu
 
Pole,lakini hapohapo ndo ungeonyesha msimamo wa kumuelimisha ili aache ubinafisi,maisha ya wapendanao hayako hivyo,ila kwa mabinti wa sasa hiyo inaweza kuwa ina ukweli kwa wengi wao
 
kuna jamaa alinitongoza nikamuomba anikopeshe elf 30 nitamlipa mwisho wa mwezi akanipa eti mwisho wa mwezi akaanza kunidai kweli loh nilishangaa sana yaani
Dah jamaa na papuchi utakuwa ulimnyima
 
Back
Top Bottom