Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Sio huyo tu hata mimi nakudai ulinikopa hukuniomba ya kutumia..!!??kuna jamaa alinitongoza nikamuomba anikopeshe elf 30 nitamlipa mwisho wa mwezi akanipa eti mwisho wa mwezi akaanza kunidai kweli loh nilishangaa sana yaani
sijakataa itifaki ila aje na mkeweSio huyo tu hata mimi nakudai ulinikopa hukuniomba ya kutumia..!!??
Sasa lazima itifaki izangatiwe
kwani wewe ulimpa huo utamu wa huko chini................?kuna jamaa alinitongoza nikamuomba anikopeshe elf 30 nitamlipa mwisho wa mwezi akanipa eti mwisho wa mwezi akaanza kunidai kweli loh nilishangaa sana yaani
Utakuwa sio mudada ww, sio kwa ujasir huo JFhata yeye anamuona ,hata wewe
Mbona mimi nilikutongoza hujanichaji hela?[emoji1]weee alinitongoza bure?
sitaki hela nishapata wa kunipa chochote nitakachoMbona mimi nilikutongoza hujanichaji hela?[emoji1]
Kwani si mlikubaliana kuwa utalipa!? Sasa yakupasa ulipe nata kama ni mie ningekudai[emoji85] [emoji85] [emoji12] [emoji12]kuna jamaa alinitongoza nikamuomba anikopeshe elf 30 nitamlipa mwisho wa mwezi akanipa eti mwisho wa mwezi akaanza kunidai kweli loh nilishangaa sana yaani
aje na mke wake nitawapaKwani si mlikubaliana kuwa utalipa!? Sasa yakupasa ulipe nata kama ni mie ningekudai[emoji85] [emoji85] [emoji12] [emoji12]
We jamaa hiyo sig. yako sijui kama moto wa maji ana hizo taarifa.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mungu anakuona
Huyo uliempata anatumia ID gani hapa JF jamani?[emoji1]sitaki hela nishapata wa kunipa chochote nitakacho
Dah jamaa na papuchi utakuwa ulimnyimakuna jamaa alinitongoza nikamuomba anikopeshe elf 30 nitamlipa mwisho wa mwezi akanipa eti mwisho wa mwezi akaanza kunidai kweli loh nilishangaa sana yaani
Mi nijuavyo ni "kutongoza bure, kula mzigo maelewano" ila wewe watoza dinari. Acha utanyang'anywa papuchi na vibaka.weee alinitongoza bure?