Wanawake sisi wanaume tunatofautiana moyo uchumi wetu ni kipindi cha mpito

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Habari ndugu zangu.

Katika moja na mbili acha waendelee kutudangia huku wakijifanya hawajui wanacho kitaka ili kuhalalisha umalaya wao.

Wanawake wote mkae mkijua mtadanga sana , mtahangaika sana ila sisi wanaume tofauti yetu ni moja tuu. Sisi tunatofautiana mioyo na kujali basi vingine ni kurda za Mwenyezi Mungu

Kaa ukijua mwanamke utamkataa asiye na hela na utamfata mwenye nazo ila utakutana na moyo mgumu sana mfano hakuna, vile vile utamkataa mwenye hela na ukamfata fukara hali kadhalika hali ikawa mbaya vile vile. Wanawake siku zote mwanaume anayeanzia chini ndiye mwanaume sahihi wa kujenga nae maisha haijalishi kuna usemi kwamba akizipata ataoa mwingine hizo ni tabia tuu za wanaume wahuni ila sisi tunaotoka chini na wanawake wetu tunajua kabisa umuhimu wao na hata kama ni kuzidiwa na ugwadu pale mnapo yabana mapaja yenu hatuwezi piga mpa mkajua.

Wanawake pimeni mioyo ya wanaume na msipime kiwango cha uchumi wake na wallet yake maisha ni kupanda na kushuka. Sis tunatofautiana sana mioyo yetu.

Mwisho kabisa katika kutofautiana mioyo ukiona mwanaume wako ana kukula kinyeo iwe kwa kumlazimisha au kwa kukulazimisha ujue kabisa ana moyo wa kishetani, pia mwanaume akikupenda atajiongeza kukutunza ila kama hakupendi atajifanya anajisahau majukumu yake itabaki wewe kuomba hela na matunzo mpaka akuweke kwenye kundi la wachunaji na nyonya damu.

Nb. Tupimeni mioyo yetu acheni kuangalia hali zetu za kiuchumi ili mjipatie waume bora na wakudumu nao.
 
Bujibuji Simba Nyamaume is screening you and scanning you at per.

UMEROGWA NA ALIYEKUROGA KAGEUZWA MSUKULE
 
Sometimes wanatazama future, watoto watakula nini? Kodi ya nyumba itatoka wapi? Mwanamke anayewaza hivyo ana akili, lakini manamke anayewaza misuko ya laki moja, au kila wikiendi umpeleke samaki samaki, nguo za mlimani City, mara baby ninunulie iphone toleo jipya limetokaa, huyo ndo ana tamaa.

Mwanaume huwezi kushindwa kumgundua mwanamke mwenye tamaa dhidi ya mwanamke mwenye mahitaji ya msingi ambayo ni jukumu lako, pia tafuta kipato haiwezekani hata wewe hela ya kula tu inakushinda halafu mwanamke akikukataa unalalamika, sasa akikukubali, utatunzaje familia?
 
Back
Top Bottom