Wanawake tabia ya kuji-edit uzuri inakera, tuhurumieni

Wanawake tabia ya kuji-edit uzuri inakera, tuhurumieni

tunataka bilion 20 zeru kwanza tajiri
images (4).jpeg
 
Zile picha 99 wanazofuta kati ya 100 ndio wao halisi.

Ile sura kabla ya kuedit ndio halisi.
 
Hivi hamuoni aibu jamani dada zetu.

Unamuona mtu kwenye picha yaani ni mzuri mpaka unasema waaaaaooooh. Lakini kumbe kaji edit. Kote huko ni kumchanganya mwanaume tu. Tuoneeni huruma basi.
Upande wa pili ni kuwa wanaume nao tunaji-edit na mafanikio. Tukikutana na msichana kwa mara ya kwanza tunajifanya na kujionyesha kuwa tuna fedha na mafanikio makubwa.
 
Maisha ni kupambana, watu wanataka vitu vizuri na Dada zetu nao wanapambana kujiweka vizuri vizuri hupambaniwa na wengi na Dadabzetu wanataka tuwapambanie, ndipo tulipofikia tusilaumiane
 
Back
Top Bottom