OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
tunataka bilion 20 zeru kwanza tajiri
No maana mimi napendelea kuku wa kienyeji😁Hivi hamuoni aibu jamani dada zetu.
Unamuona mtu kwenye picha yaani ni mzuri mpaka unasema waaaaaooooh. Lakini kumbe kaji edit. Kote huko ni kumchanganya mwanaume tu. Tuoneeni huruma basi.
Upande wa pili ni kuwa wanaume nao tunaji-edit na mafanikio. Tukikutana na msichana kwa mara ya kwanza tunajifanya na kujionyesha kuwa tuna fedha na mafanikio makubwa.Hivi hamuoni aibu jamani dada zetu.
Unamuona mtu kwenye picha yaani ni mzuri mpaka unasema waaaaaooooh. Lakini kumbe kaji edit. Kote huko ni kumchanganya mwanaume tu. Tuoneeni huruma basi.