Wanawake tafadhali naombeni mje kujibia hili

Wanawake tafadhali naombeni mje kujibia hili

Tajiri Sinabay

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
1,333
Reaction score
3,619
Tajiri sio lazima asalimie wakati anapoanza maongezi.

Mwanaume hana mpango kabisa na wewe unaanza kujipitisha kwake hadi anaanza kukuwaza kingono, anakutongoza unamkataa.

Anaamua kuachana kabisa na mawazo juu yako unaanza kumshobokea tena.

Anakomaa hana mpango na wewe unazidisha kiwango cha shobo.

Anasema sasa ngoja nimtongoze tena kumpotezea kwangu pengine ataona namdharau, anakutongoza tena unamkataa.

Anaamua kuachana na wewe mazima unaanza kumshobokea tena.

Hivi ni kwanini huwa mnafanya hivi?.
 
Back
Top Bottom