Wanawake tu ndio wajibu hili swali.

Wanawake tu ndio wajibu hili swali.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Huwa mna maana gani pale mnapoenda kulala kwenye rums za wapenzi wenu,afu mkiondoka mnajifanya eti mmesahau kufuli{c.h.u.p.i.}zenu??
 
Hii mada ilishawekwa tukachangia kwa mapana na marefu.

Tumia JF search engine. . . hatuwezi kujibu swali hilo hilo kila kukicha.
 
Wanao sahau hizo kufuli wanawachia wapenziwao sababu funguo bila kufuli hawezekani...
 
Huwa mna maana gani pale mnapoenda kulala kwenye rums za wapenzi wenu,afu mkiondoka mnajifanya eti mmesahau kufuli{c.h.u.p.i.}zenu??

Kwani unaiogopa chupi ya mpenzi wako?? Sema kama ulileta hawara akaikuta!!!
 
Huwa mna maana gani pale mnapoenda kulala kwenye rums za wapenzi wenu,afu mkiondoka mnajifanya eti mmesahau kufuli{c.h.u.p.i.}zenu??

mashine huwa zimepata moto sana kiasi cha kuona pichu nzito, tunaziacha ili angalau tupigwe na kaupepo kupooza engine!!:A S embarassed:
 
Huwa mna maana gani pale mnapoenda kulala kwenye rums za wapenzi wenu,afu mkiondoka mnajifanya eti mmesahau kufuli{c.h.u.p.i.}zenu??

Tego hilo baabuuuu...nakuachia unifulie na nikija niikute safi!
 
Wacha kubagua jinsia bana,
Wacha niwasaidie kujibu!!
Kipondo hua kinawasahaulisha!!!
Pia sometimes Unyeti wa shughuli iliyofanyika unalazimisha kiungo kuhitaji hewa angalau kupoza poza!!!
 
Huwa mna maana gani pale mnapoenda kulala kwenye rums za wapenzi wenu,afu mkiondoka mnajifanya eti mmesahau kufuli{c.h.u.p.i.}zenu??
walichakuachia wangapi mkuu..!? maana inaonekana una bahati ya kuachiwa wewe...nahisi utakuwa ushajaza begi....lol...
 
mweh! inabidi afungue duka la 'kofuli za mitumba', na hivi 'used' ndo fashion!
hapo sasa...afu sijui atakuwa anazifua mwenyewe kabla hajauza au anauza hivyo hivyo...sipati picha siku ya kuzifua....hahahahahaaa..
 
Back
Top Bottom